JOSEPH
MBILINYI:
"Mambo mengi ya nchi hii
hayaendi kutokana na SERIKALI
PUMBAVU....
Hatuwezi kuwa na WAZIRI WA ELIMU BOYA mwenye elimu ya kuunga unga
halafu tufanye vizuri katika sekta ya elimu , haiwezekani."
LIVINGSTONE
LUSINDE:
"Siwezi kuikubali taarifa
hiyo.Nadhani huyu mtu bado amechanganyikiwa na uchaguzi wa kenya.Mimi
sijaitaja Chadema bali nimesema kuna chama kimoja cha siasa,SIJUI YEYE ANAWASHWA NINI..!!
JUMA NKAMIA:
Sugu naomba unyamaze.Mimi
ndiye nazungumza.Mimi siongei na mbwa,naongea na
mwenye mbwa
Post a Comment