Madarasa
yaliyojengwa na benki ya CRDB.
Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya Dk. Norman Msigalla akiwa na
wanafunzi wa Shule ya Msingi Itambalila mara baada ya benki ya CRDB kukabidhi
msaada wa Madarasa na madawati.
Mkurugenzi wa Masoko wa CRDB
BAnk Tully Mwambapa akifurahia zawadi wa kuku aliyopewa na wanakijiji wa
Itambalila Mbeya baada ya kukabidhi madarasa na madawati.Kushoto ni Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya vijijini Dr.Norman Msigalla.
Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya Dk. Norman Msigalla akikata utepe kufungua ramsi madarasa
yaliyojengwa kwa Msaada wa Benki ya CRDB kwa ajili ya Shule ya Msingi Itambalila
katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Itambalila, Mbeya. Kulia ni
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki huyo, Tully Mwambapa.


Post a Comment