Askari wa kikosi cha usalama barabarani
akijongea katika eneo la ajali mara baada ya daladala aina ya Toyota Coaster
inayofanya safari zake kati ya Temeke na Posta kupitia barabara ya Kirwa lenye
namba za usajili T 935 BEN kupinduka katika eneo la Mivinjeni jijini Dar es
salaam kutokana na utelezi barabarani kufuatia mvua iliyonyesha asubuhi leo,
hata hivyo katika ajali hiyo basi hilo halikuwa na abiria hakuna aliyepoteza
maisha ila konda amepata majeraha kidogo na kupelekwa hospitaliWananchi wakiangalia mara baada ya kutokea
kwa ajali hiyo leo asubuhiBreakdown akiwa tayari kwa kunyanyua gari
hilo na kuliondoa katika eneo la ajaliWafanyakazi wakifunga minyororo
tayari kwa kulinyanyua gari
hilo.
Jioni
1 hour ago
Post a Comment