Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya
Kimataifa ya Utafiti wa Kilkimo (IITA) yenye Makao Makuu nchini Kongo
Dk.Nteranya Sangiinga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na ujumbe wake
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Mkurugenzi wa Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa
Kilkimo (IITA) yenye Makao Makuu nchini Kongo Dk.Nteranya
Sangiinga,(aliyesimama) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa
mazungumzo akiwa na Ujumbe wake Ikulu Mjini Zanzibar leo. [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment