Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara
ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara
hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,( kulia)
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi
Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati)akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za
Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,
(wa tatu kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Post a Comment