Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema, akizungumza na baadhi ya wazee waasisi wa Temeke, walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Polisi Dar es salaam, leo kumpongeza kwa utendaji wake mzuri katika kubaini na kutanzua vitendo vya uhalifu hususan katika mkoa wa Kipolisi wa Temeke, wazee hao waliongozwa na Kapteni mstaafu wa Jeshi Ndugu Mohamed Ligola.(Picha na Demetrius Njimbwi- Jeshi la Polisi)
Wazee waasisi wa Temeke, wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema, walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Polisi Dar es salaam, wakiwa wameambatana na ujumbe wa kumpongeza kwa utendaji mzuri hususan katika mkoa wa Kipolisi wa Temeke.(Picha na Demetrius Njimbwi- Jeshi la Polisi)
Post a Comment