Kaimu mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai Issaya Mngulu, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana (hawapo pichani) kuhusu hatua zilizo chukuliwa kutokana na matukio mbalimbali likiwemo la kuvamiwa na kupigwa kwa muhariri mtendaji wa New habari Absolom Kibanda.
Mpaka hivi sasa upelelezi wa kesi inayomkabili Bw.Wilfred Rwakatare pamoja na Ludovick Joseph umekamilika na jalada linaandaliwa kwenda kwa Mkurugenzi wa mashtaka(DPP)kwa hatua za ziada, na kwa upande wa kesi ya kumwagiwa Tindikali kada wa (CCM) Bw.Mussa Tesha katika uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Igunga Mkoa wa Tabora Septema 211,watuhumiwa wawili tayari wameshafikishwa mahakamani na upelelezi upo katika hatua za mwisho endapo watabainika watuhumiwa wengine nao watafikishwa mahakamani alisema Issaya”
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Post a Comment