Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akiongoza harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo jimbo la Ukonga jana
jioni ambapo jumla ya Shilingi 462m/ zilipatikana ikiwa ni ahadi na fedha
taslimu. Rais Kikwete alichangia jumla ya shilingi 110m/-Wakati wa harambee hiyo
iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana jioni.Kulia ni
mbunge wa ukonga Eugen Mwaiposa na wapili kushoto ni mwenyekiti wa ukonga SACCOS
Advera Ruge
Loading...
Post a Comment