Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Maaskofu kutoka Kanda ya Ziwa waliotembelea Bunge Aprili 25,2013. Kutoka kushoto ni Alex Lwakusumbwa, Z. Isaya na Charles Sekelwa. Wapili kulia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 25,2013.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiteta na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma,Aprili 25,2013.
Post a Comment