Familia ya Kanumba inawakaribisha katika kumbukumbu ya mwaka
mmoja wa kifo cha marehemu Steven Kanumba itakayofanyika Leaders Club
Jumapili hii tarehe 7 /04/ 2013 kuanzia saa 8 mchana.
Kutakuwa na uzinduzi wa muvi ya mwisho kufanywa na marehemu. Pia
itaoneshwa kwa mara ya kwanza preview ya muvi iitwayo After death(Never
happened before) iliyoandaliwa na Jackline Wolper kwa ajili ya kumuenzi
marehemu Kanumba.Kutasindikizwa na Twanga Pepeta na wachekeshaji maarufu
Tanzania.
KIINGILIO NI BURE. MSIKOSE TUMUENZI NDUGU YETU.
Post a Comment