Moja ya kati ya miti
2300 ukiwa umepnda wakati wa maadhimisho ya siku ya upandaji miti kitaifa
iliyofanyika kando ya Bwawa la Mindu kata ya Magadu Manispaa ya Morogoro ambapo
jumla ya miti 2300 ilipandwa katika eneo hilo mkoani
Morogoro.
Mwandishi Mpiga Picha,
Juma Mtanda ambaye ni Meneja wa Blog JumaMtanda.blogspot.com akipanda mti wakati
wa maadhimisho ya siku ya upandaji miti kitaifa iliyofanyika
kando ya Bwawa la Mindu kata ya Magadu Manispaa ya Morogoro ambapo jumla ya miti
2300 ilipandwa katika eneo hilo mkoani
Morogoro.
Post a Comment