.NAIBU waziri wa
Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Amos Gabriel Makalla ambaye pia ni Mbunge wa
Jimbo la Mvomero amefiwa mdogo wake aliyezikwa machi 31 kijiji kwao Kidundwe
Mtibwa,Tarafa ya Turiani Wilaya ya Mvomero
Makalla watatu kutoka
kulia akiwa kwenye msiba huo,wa mwisho kushoto ni mjumbe wa Nec CCM wilaya ya
Mvomero Selemani Saqq Murad naye akiwa kwenye hali ya
majonzi
Umati wa watu ukisikiliza mawaidha kwenye msiba
huo
Diwani wa kata ya kilakala jimbo wa Morogoro Mjini
Riboon Mkali mwenye Bagharashia akibadilishana mawazo na mkuu wa polisi wilaya
ya Mvomero OCD Himma Garilamoshi. mwenye koti kulia.Marehemu huyo Mussa Kingu ambaye ni mmoja wa makada wa
CCM wilaya ya Mvomero
Diwani wa kata ya
Kingo wilaya ya Morogoro mjini Mh Tairo[kushoto] akiwa Katibu wa UVCCM Mkoa
wa Morogoro Jumanne Kitundu ambao pia walikuwepo kwenye msiba
huo.
Sehemu ya umati wa wwatu waliojitokeza kwenye msiba huo
,
Mwili wa marehemu Mussa Kingu ukiingizwa kaburini
Mjumbe wa Nec wa jimbo
la Movomero Selemani Sadique Murad akishiriki kubeba jeneza la Marehemu
huyo.
Ibada ya kumwombea marehemu kabla ya
kuzikwa kijijini kwao Kidundwe Mtibwa,Tarafa ya Turiani Wilaya
ya Mvomero
Nafasi ya mtani
ilipofika bibi huyu aliwaliza baadhi ya waombolezaji kama wanavyoonekana
pichani
Mwili
wa marehemu ukiwasili kijiji kwao Kidundwe Mtibwa Tayari kwa mazishi
hayo.
Post a Comment