Jeneza lenye mwili wa
marehemu Meja Generali Makame Rashid ukiwasili kwenye viwanja vya
Makao Makuu ya JKT jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya shughuli ya kuaga,marehemu Meja Generali
Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza
lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana
katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam.
Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013
kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.
Rais Mstaafu wa
Awamu Benjamini Mkapa, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza
lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana
katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam.
Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013
kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.
Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza
lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana
katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam.
Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013
kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akiwafariji wanafamilia
wafiwa wa marehemu Meja Generali
Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar
es Salaam.
Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013
kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini Dar
es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Bazozi Ombeni Sefue akiwafariji
Wanafamilia Wafiwa wa marehemu Meja Generali
Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar
es Salaam.
Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013
kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini Dar
es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya
marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya
TMJ, jijini Dar es Salaam. Shughuli za
kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013 kwenye viwanja
vya Makao Makuu ya JKT jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya
pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Mkuu
wa Majeshi Davis Mwamunyange.
Mkuu wa jeshi la polisi Nchini IGP Saidi
Mwema(Katikati)akiwa na Luteni Jenerali S.A. Ndomba Mnadhimu
Mkuu wa Majeshi la Wananchi wa Tanzania(Kushoto)na Mkuu wa
Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja(Kulia)
Sehemu ya Wanafamili wa marehemu Meja Generali
Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar
es Salaam.
Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Makame, zimefanyika leo Aprili 15, 2013
kwenye viwanja vya Makao Makuu ya JKT jijini Dar
es SalaamPicha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Post a Comment