Bi Celestina Ananius(35) amenusurika Kuuawa na
Padri wa kanisa katoliki parokia ya
hombolo iliyoko dodoma kwa jina la celestine john
nyaumbana ambaye kwa Sasa anaishi
kwenye Makazi ya Katoliki Mbezi kwa ajili
ya Masomo.
Dada huyo anasema amekuwa katika mapenzi na padri huyo
tangia akiwa Fratel,akawa Shemasi na sasa ni padri nasuala hilo ni siri yao na
wazazi wa pande mbili hadi wamezaa mtoto anaitwa Agnes(3).
Bi Celestina ambaye anaishi Dodoma alikuja Dar kumfuata Mpenzi wake huyo ili ajue hatima ya huyo mtoto wao....
Sasa wakati wapo dar padri huyo alimuomba mpenzi wake huyo watoke kidogo kwenda kutembea maeneo ya kiluvya...
Walipofika huko wakati wapo katikati ya poli padri
huyo alishuka kwenye gali na kumshambulia dada huyo kwa madhumuni ya kumuua na
kupoteza ushaidi ila hakufanikiwa kumuua .....
Taarifa za Polisi Mkoa wa Pwani zinaonyesha kuwa Mwanamke huyo aliokolewa na Wasamalia wema na kukimbizwa Hospitali ya Tumbi Kibaha kwa matibabu!!!
source: Police Kibaha na wapo radio kipindi cha patapata
Post a Comment