Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akifurahia baada ya kufungua rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo
imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akiwa na Bw.
Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa
Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya
Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani
ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya
Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya
Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.
Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la
Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akielekea kufungua barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa
kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akiwa ameongiozana na Naibu
waziri wa wizara ya ujenzi, Mhe Gerson Lwenge (kulia), Bw. Daniel Wolde
Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC),
Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, na mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe
Chiku Gallawa (kushoto) Barabara ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara
inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi
huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za
Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni
utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu
ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko
la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akifungua rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa
kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akisaidiana na Bw. Daniel
Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani
(MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga –
Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya
kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC).
Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne
ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa
barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo
kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika
Mashariki.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akipanda mti kama kumbukumbu yaq ufunguzi rasmi barabara ya Tanga –
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14.
Kuhsorto kwake ni Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa
Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), na kulia kwake ni Balozi wa Marekani
nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya
barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga.
Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za
Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni
utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu
ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko
la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete, Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za
Milenia wa Marekani (MCC) na viongozi na wadau mbalimbali wakikata utepe kwa
pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Tanga – Horohoro ambayo
imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Barabara hii
ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi
jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya
Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya
Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.
Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la
Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Msafara wa Rais Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete ukipita juu ya sehemu ya barabara ya Tanga – Horohoro ambayo
imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Barabara hii
ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi
jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya
Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya
Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.
Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la
Jumuiya ya Afrika Mashariki. PICHA NA
IKULU
Post a Comment