Mwanasiasa Mkongwe wa Siasa nchini Tanzania, Kingunge Ngomable Mwiru, akizungumza wakati wa Tamasha la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere, lililofanyika leo katika Ukumbi wa Nkhuruma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kingunge alizungumzia kuhusu misingi ya Miiko ya Uongozi iliyowekwa wakati wa Azmio la Arusha na vilevile akitoa rai kwa viongozi kufuata miiko hiyo ambayo bado haijafutwa. na mengine mwngi.
Sehemu ya washiriki wa Tamasha la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere wakiwa katika Ukumbi wa Nkuruma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Kongamano hilo lililofanyika leo.
Credits: Mafoto Web
Post a Comment