Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika mkutano na viongozi wa
madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo alipokutana nao leo April 23,
2013 Ikulu jijini Dar es salaam katika kukutana na makundi mbalimbali ya
kidini ili kuondoa changamoto za kiimani zilizojitokeza nchini hivi
karibuni.
Raisi akiwa katika picha ya Pamoja na viongozi wa dini mbalimbali
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo alipokutana nao leo
April 23, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam katika kukutana na makundi
mbalimbali ya kidini ili kuondoa changamoto za kiimani zilizojitokeza
nchini hivi karibuni.PICHA NA IKULU
Post a Comment