Waziri
wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman akisalimiana
na wachezaji wa ZSSF kabla ya mchezo wao na NSSF..
Waziri
wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman akisalimiana
na wachezaji wa NSSF kabla ya mchezo wao na ZSSF.
Meneja Kiongozi Idara ya
Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume akisalimiana na wachezaji
wa timu ya NSSF.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa
akisalimiana na wachezaji wa NSSF.
Wachezaji wa ZSSF
wakisalimiana na wenzao wa NSSF.
Kikosi kamili cha NSSF kikiwa katika picha ya
pamoja.
Mshambuliaji wa timu ya Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ally Chuo akitafuta mbinu za kumtoka beki wa
ZSSF, Hamadi Nyange katika mchezo wa Tamasha la Pasaka uliofanyika kwenye Uwanja
wa Amani mjini Zanzibar.
Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiongozwa na Juma
Kintu (kushoto)
Waziri
wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman (kati) akifuatilia mchezo wa soka katika
tamasha Pasaka lililofanyika kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. Kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa na Mkurugenzi Uendeshaji ZSSF,
Abdulwakil Haji Hafidh.
Benchi la ufundi la ZSSF.
Benchi la ufundi la timu ya NSSF.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji wa
Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Haruna
Ali Suleiman akimkabidhi ngao ya ubingwa
wa michuano ya tamasha la Pasaka, nahodha wa timu ya Shirika la Mfuko wa Hifadhi
ya Jamii Zanzibar (ZSSF), Mohamed Hamad 'Loto' baada kuifunga timu ya Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa penati 4-2 katika mchezo uliofanyika
kwenye uwanja wa Aman mjini Zanzibar, mwishoni mwa wiki.
Mashabiki wa timu ya NSSF wakishangilia.
CREDITS: HABARI MSETO BLOG
Post a Comment