Pamoja na Mvua
zilizonyesha jijini Dar es Salaam, jana na uwanja wa Netoboli na wa Mpira wa
miguu TCC kujaa maji lakini bado timu za TASWA FC na Netiboli ya TASWA Queens,
ziliibuka na ushindi mnono katika Bonanza la Pasaka dhidi ya timu ya Kiliflora ya Arusha. Hapa wachezaji na viongozi wa
timu hizo wakijitahidi kuondoa maji katika uwanja wa Netiboli kabla ya kuanza
kwa mtanange huo, ambao ulimalizika kwa TASWA Queens kuibuka na ushindi wa mabao
28 -8. Picha zote na Nasma Mafoto
Majuto Omari wa Taswa Fc
(kushoto) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa Kiliflora ya Arusha, ambapo hadi mwisho Taswa Fc
Iliibuka na ushindi wa mabao 4-1.
Mtanange
unaendelea.....
Beki wa TASWA Fc Muhidin
Sufiani (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa Kiliflora ya Arusha.
Mchezo ukiendelea japo
uwanja ulikuwa ukisumbua kwa utelezi....
Mafoto, akiondosha
hatari.....
Utelezi ukiwasumbua
wachezaji wa Netiboli, hapa mmoja akienda chini
Salum Jaba wa Taswa,
akiondosha hatari....
Mtanange
ukiendelea.....
Wachezaji wa Taswa Queens,
wakiwa katika picha ya pamoja.....
Shafii Dauda (kulia)
akiwania mpira na wachezaji wa Kiliflora ya
Arusha
Kiliflora ya Arusha.
Mwenyekiti wa TASWA, Juma
Pinto akiwa katika picha ya pamoja na Taswa Queens.
Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto akiwa katika picha ya
pamoja na Kiliflora
ya Arusha.
Kinadada wakiendelea
kuchuana.
Kipute
kikiendelea..
Wakiendelea kuchuana katika
uwanja wa TCC Chang'ombe. Picha Zote na Nasma Mafoto wa
www.sufianimafoto.com
Post a Comment