Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA MBALIMBALI ZA MATUKIO YA WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013.Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Bahati Ali Abeid.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. Kutoka kushoto ni Felister Bura, Leticia Nyerere na Christowaja Mtinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere kwene ukumbi wa Spika mjini Dodoma Aprili 17,2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top