Meneja Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu
Tanzania (TTCL), Peter Ngota akionesha aina mpya ya Smart Phone wakati wa
uzinduzi wa Huduma ya Bando na TTCL na kampeni ya punguzo kubwa la bei ya
intaneti uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mauzo TTCL,
Kisamba Tambwe. (Picha na Habari Mseto Blog)
Meneja Masoko
na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akizindua Huduma ya Bando na TTCL na kampeni ya punguzo kubwa
la bei ya intaneti uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa
Bidhaa TTCL, Issaya Ernest.
Post a Comment