Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda leo
amekutana na Makamu wa Raisi na Mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya BG
Group ya Afrika mashariki Bwana Sam Iskander yeye na maofisa aliokuwa
anawaongoza walikuwa na mazungumzo ya kikazi na waziri mkuu ofisini
kwake Magogoni Dar es salaam. Picha na Chris Mfinanga
on Thursday, April 4, 2013
Post a Comment