Waziri mkuu mstaafu na
mwenyekiti wa kamati za bunge kamati ya mambo ya nje Ambaye ni Mbunge Wa Jimbo
La Monduli Mh Edward Ngoyai Lowassa akiwa na waziri wa mambo ya nje na
ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard membe wakati wa kikao baina yao waziri
akielezea utekelezaji wa bajeti 2012/2013 na mapendekezo ya bajeti ya mwaka
203/2014 jana kwenye ofisi ndogo za bunge jijini dar es
salam
Loading...
Post a Comment