Waziri Mkuu akitia sahihi
kitabu cha maombolezo.
Waziri Mkuu akipeana mkono
na Askari wa Jeshi la Wananchi (jwtz) alipotembelea eneo la
tukio.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
alipowasili mkoani Arusha leo Kuwapa pole ndugu na jamaa ambao ndugu zao
wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo la Moshono Mkoani Arusha,
maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha vifo vya watu 13 na majeruhi wawili
ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine amelazwa katika Hospitali ya Maunti
meru.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoka eneo la
tukio katika machimbo ya Moramu katika
eneo la Moshono Mkoani Arusha, maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha
vifo vya watu 13 na majeruhi wawili.Picha
na Chris
Mfinanga
Post a Comment