Waziri wa Fedha Mhe. Dkt.
Wiliam Mgimwa akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa nchini Canada
Bw. Julian kabla ya kikao kuanza Fantino
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt.
Wiliam Mgimwa akisisitiza jambo kwa Waziri wa ushirikiano wa Kimataifa Bw.
Julian Fantino mara baada ya kikao kumalizika
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt
Wiliam Mgimwa pamoja na ujumbe wa Tanzania katika majadiliano ya pamoja na Mhe.
Julian Fantino ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa katikati mbele.
Aliyekaa kushoto kwake ni Bi. Margaret Biggs ambaye ni Rais wa Taasisi ya
maendeleo ya kimaifa(CIDA).
Waziri wa ushirikiano wa
Kimataifa nchini Canada Mhe. Julian Fantino akisikiliza kwa makini ujumbe wa
Tanzania kuhusu masuala ya Nishati, Elimu, Maji, Usafirishaji, Rasilimali Fedha
na Kilimo.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt.
Wiliam Mgimwa akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar, Bw. Khamis
Mussa.
Waziri wa ushirikiano wa
Kimataifa nchini Canada Mhe. Julian Fantino aliyesimama, akisoma hotuba yake
mbele ya ujumbe wa Tanzania. Aliyekaa kushoto kwake ni Bi Margaret Biggs ambaye
ni Rais wa shirika la maendeleo la kimataifa (CIDA)
Kamishna wa Fedha za Nje
Zanzibar Bi. Bihindi Nassor akisalimiana na Waziri wa ushirikiano wa Kimataifa
nchini Canada Mhe. Julian Fantino.
Post a Comment