Huu ndio Uwanja Mpya wa Yanga utakaojengwa na Kampuni
ya Beijing Construction Engineering Group mapema mwaka huu. Mkataba wao
utaingiwa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Francis Kifukwe kulia anapewa somo na wataalamu wa Kampuni hiyo.
Mdau Sofia Ashery kutoka Gazeti la Uhuru kulia akifuatilia kwa karibu mazungumzo ya ujenzi wa Uwanja wa Yanga.
Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako wa tatu kutoka kushoto mstari wa kushoto akifuatilia kwa karibu mazungumzo na kampuni watakayoipa kazi ya ujenzi wa Uwanja wao

Post a Comment