Wakazi
wa mwananyamala ujiji maduka matatu kwa mama zakaria wamekusanyika na
kufunga barabara Baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 7 kugongwa
na kufa papo..
wamefunga barabara inayopita eneo hilo wakishinikiza wajengewe matuta baada ya mtoto wa miaka 7 kugongwa na kufariki
Post a Comment