Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Taarifa ya tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne yasomwa Bungeni

Mh Lukuvi anawasilisha taarifa ya tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watajiniwa wa form 4. Na mapendekezo ya nn kifanyike. Anasema sababu zilizotolewa ni upungufu wa waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa. Anaendelea.
Download Our App

1 comments:

endelea kutufahamisha ndugu,,,

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top