Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei amechaguliwa kuongoza
chama cha Tanzania Bankers Association(TBA) kwa kipindi cha miaka miwili
ijayo.
Asanteni
wateja na wadau wa Benki ya CRDB kwa kuwa kwa kuiunga kwenu mkono
Benki, heshima yake na viongozi wake imezidi kupanda kila siku.
Post a Comment