Diwani
wa kata ya Bulyanhulu wilayani Kahama Bw.Joseph Makoba akimkabidhi
vitabu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kakola B, Bw.Raphael Kirega
kutoka kampuni ya simu za mikononi Tigo. Jumla ya vitabu elfu moja
vilitolewa na kampuni ya Tigo katika kuchangia elimu kwenye shule
hiyo, kulia ni meneja wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Joseph Mutalemwa.
Diwani
wa kata ya Bulyanhulu wilayani Kahama Bw.Joseph Makoba akimkabidhi
vitabu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kakola A, Bi.Joyce Lwanji kutoka
kampuni ya simu za mikononi Tigo. Jumla ya vitabu elfu moja vilitolewa
na kampuni ya Tigo katika kuchangia elimu kwenye shule hiyo, kulia ni
meneja wa Tigo kanda ya ziwa Bw. Joseph Mutalemwa.
Mwalimu
mkuu wa shule ya msingi Kakola A wilayani Kahama, Bi.Joyce Lwanji akiwa
kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wake mara baada ya kupokea vitabu
toka kampuni ya simu za mikononi Tigo jumla ya vitabu elfu moja
vilitolewa na kampuini hiyo.
Post a Comment