Naibu
Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade akizungumza wakati alipokuwa anazindua
kifaa cha kulipia Kodi Kielectroniki kijulikanacho kama EFD ambapo
amesema kuwa wanatarajia wafanyabihashara laki mbili kuanza kutumia
kifaa hicho, na ameongeza kuwa Mashine hizo zitakuwa na Betri
itakayomwezeha Mfanyabihashara kutumia bila Umeme.uzinduzi huo
ulifanyika kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam leo.(PICHA NA
PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Hawa
ni Baadhi ya wadau kutoka TRA pamoja na wafanyabihashara waliohudhuria
katika Uzinduzi huo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade.
Post a Comment