Baadhi
ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za SADC wakiimba wimbo wa
umoja huo katika mkutano wa mwaka wa kumi na nane wa shirikisho la
Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika jijini Dar es
Salaam.Mkutano huo unajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu
unaovuka mipaka.(Picha na Frank Geofary-Jeshi la Polisi)

Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema akizungumza katika mkutano wa
mwaka wa kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa
Afrika (SARPCCO) unaofanyika jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unajadili
mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka.(Picha na Frank
Geofary-Jeshi la Polisi)
Katibu
mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil akizungumza
katika hafla fupi ya kufungua mkutano wa mwaka wa kumi na nane wa
shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika
jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unajadili mambo mbalimbali yanayohusu
uhalifu unaovuka mipaka.(Picha na Frank Geofary-Jeshi la Polisi)
Post a Comment