Msanii nguli wa muziki wa kizazi
kipya Juma Nature akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ufukwe wa
Coco beach wakati wa Tamasha la Cheka Nao lilioandaliwa na Vodacom
Tanzania kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Wafanyakazi mei mosi juzi
jijini Dar es Salaam.
Mwimbaji wa bendi ya muziki wa
dansi ya Msondo ngoma baba ya muziki Romarii Mng'anda akiwaongoza
waimbaji wenzake wakati wa tamasha la ChekaNao liliandaliwa na Vodacom
Tanzania ikiwa ni mahususi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya
wafanyakazi Mei mosi hapo juzi na kufanyika katika ufukwe wa Coco Beach
jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa Kikundi cha wakali
dansi wakionyesha ukali wao wakati wa onyesho la Cheka Nao liliandaliwa
na Vodacom Tanzania katika ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es
Salaam,Ikiwa ni sehemu ya Kusherehekea sikukuu ya Mei mosi hapo juzi .
Msanii anaechipukia wa Kizazi
kipya Dogo Lila toka kundi la TMK Wanaume Halisi akionyesha umahiri
wake wakati alipokuwa akiimba kwenye Tamasha la Cheka Nao
lililoandaliwa na Vodacom Tanzania katika ufukwe wa Coco Beach jijjni
Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi
Mei mosi hapo juzi.
Post a Comment