Mkurugenzi Mtendaji kutoka Equity Aviation Services (T)
Ltd Rosemary Kacungira akichangia mkutano wa wazi wa maboresho ya utoaji wa
leseni kwa makampuni katika mkutano wa siku moja wa wadau wa sekta ya usafiri
salama wa anga jijini Dar es Salaam Mei.29.2013. PICHA/MWANAKOMBO JUMAA WA
MAELEZO
Mwenyekiti wa Baraza la watumiaji wa huduma za usafiri
wa anga Tanzania Juma Fimbo(kulia) na Katibu Mtendaji wake Hamza Johari
wakitoka baada ya kumalizika kwa kikao kilichowakutanisha wadau wa anga Mei
29.2013 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Fadhili
Manongi (kulia) akizungumza wakati wa mkutano huo wa wazi wa siku moja wa
maboresho ya utoaji wa leseni kwa makampuni mbalimbali yanayohudumia viwanja
vya ndege nchini. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TCAA , Juma Mbwana
Juma.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Alia Aviation Consultants Mahmud .M. Shamte (aliesimama)
akifafanua jambo katika mkutano huo wa maboresho ya utoaji wa leseni kwa
makampuni yanayohudumia viwanja vya ndege . Mei 30.2013 jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wadau wa mkutano wa wazi wa maboresho wa utoaji
wa leseni kwa makampuni yanayohudumia viwanja vya ndege nchini wakifuatilia mada
mbalimbali katika mkutano wa siku moja uliofanyika Mei 29.2013, jijini Dar es
Salaam ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) wa Mamlaka ya Usafiri
wa Anga Mkutano huo umezungumzia masuala mbalimbali jinsi ya kuboresha huduma
za usafiri wa anga pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili wadau wa
sekta hiyo.
Post a Comment