Waziri
Muu, Mizengo Pinda akitazama picha cha iliyofumwa kwa kutumia sufi
(Silk) aliyozawadiwa na Naibu Waziri wa Mabo ya Ndani wa China, Yang
Huanning,baada ya mazungunzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam, May 28, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda Naibu Waziri wa mambo ya Ndani wa China (DEputy
Minister for Pubilic Security), Bw. Yang Huanning kabla ya mazungumzo
yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 28, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa kiwanda cha
saruji cha DANGOTE kilichopo katika kijiji cha Hiyari Mtwara May
27,2013. Kushoto kwake ni mmiliki wa kiwanda hicho, Alhaji Aliko
Dangote.
Waziri mkuu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment