Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA YATOKEA TENA KIWIRA WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA. .... TAZAMA PICHA ZA TUKIO NA MAJERUHI WA AJALI HIYO

 

HAPA NDIPO ENEO LINALOTAMBULIKA KAMA UWANJA WA NDEGE AMBAPO KILA MARA AJALI HUTOKEA KWA MAGARI KUFELI BREKI NA KUSHINDWA KUKATA KONA HIVYO KUPITILIZA BONDENI

MABAKI YA GALI AINA YA SCANIA T669ACU MALI YA KAMPUNI YA LAKE OIL ILIYOKUWA IKITOKEA DSM KUELEKEA KYELA

HAPA NDIPO WALIPOKUTWA TINGO  ALIYENUSURIKA KIFO AMBAPO DEREVA WAKE NA MWANAE WALIFARIKI PAPO HAPO

ENEO AMBALO GARI HILO LILISHINDWA KUKUNJA KONA KISHA KUTUMBUKIA KORONGONI

NASIBU RAMADHANI AMBAYE NI TINGO WA GALI HILO

MAJERUHI NASIBU RAMADHANI AKIPATA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA TUKUYU KABLA YA KUKIMBIZWA KWENDA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA


MABAKI YA GALI

POLISI WAKIWA ENEO LA TUKIO

PICHA NA ALLY KINGO-RUNGWE

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top