Lady Jaydee akiwa
na Joseph Haule 'Profesa J' wakati wqakisubili mwili wa msanii wa Hip Hpo,
marehemu, Albert Mangwea
Mwenyekiti wa Kamati
ya Mazishi ya msanii Albert Mangwea, Adam Juma akizungumza na waandishi wa
habari wakatiu mwili wa msanii huyo ulipowasili leo ukitokea Afrika ya Kusini
alipofarikia akiwa usingizini.
Muda huu ni msafara wakumpeleka marehemu Albert Mangweha hospitali kuu ya Mwimbili kumpumzisha. Hapa barabarani ni wananchi wamezuia gari lililobeba jeneza na wakitaka litolewe nje walibebe mpaka hospital ya Mwimbili.
Post a Comment