Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja Akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa
na maaskari wa Jeshi la Magereza kwa ajili yake mara baada ya kuwasili katika
viwanja hivyo kwa ajili ya kuwatunuku nishani Maaskari.
Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja akipokea Salam za heshima kutoka kwa
Askari wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya
Baadhi
ya Maaskari wa Jeshi la Magereza wakitoa heshima kwa Kamishina Jenerali wa
Magereza CGP John C. Minja (ambaye haonekani pichani) wakati wa hafla ya
kuwatunuku nishani.
Brass
band ya Jeshi la Magereza kutoka Kiwira Rungwe wakitumbuiza katika Sherehe
hizo
Baadhi
ya Maaskari wastaafu wa Jeshi la Magereza pamoja na maofisa wakifuatilia kwa
umakini Sherehe za kutunuku nishani
SACP
C. A Keenja akitaja majina 29 ya Maaskari wanaotakiwa kutunukiwa Nishani ya
Utumishi uliotukukuka Tanzania, Utumishi Muda Mrefu Tanzania, Utumishi mrefu na
tabia njema na Mwenge wa Uhuru daraja la nne.
Askari
Mwanamke akitembea kwa ukakamavu kuelekea eneo linalotumika kutunukia Nishani
kwa Maaskari wa Jeshi la Magereza
Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja (kulia) akimvisha nishani ya utumishi
ulio Tukuka Tanzania ACP Hawa M. Simon ambaye pia ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa
Rukwa.
Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja akimvisha Nishani ya utumishi mrefu na
tabia njema SGT Yusufu F. Nzunda kutoka chuo cha Magereza
Kiwira
Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja Akimpongeza Askari mara baada ya
kutunukiwa nishani ya utumishi mrefu na Tabia njema.
Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja Akiwa katika picha ya pamoja na Maaskari
29 waliotunukiwa Nishani mbalimbali
Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
Maofisa wa Jeshi la Magereza wastaafu.
Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wanawake waliotunukiwa Nishani
Kamishina
Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja akibadilishana jambo na Kaimu Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Mbeya Barakael Masaki
Post a Comment