Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne
Makinda (kulia) amekutana na Baraza la Vyama vya Siasa nchini chini ya
Mweneyekiti wake Bwana Peter Mziray (kushoto) na kumweleza kuwa Baraza hili
linao mwarobaini wa kumaliza machafuko yanayojitokeza nchini kwa sasa.
Aidha wajumbe wa Baraza hilo wamemwomba Spika ili wakutane na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ili waweza kutoa ushauri wao
kuhusu machafuko yanayotokea Mtwara, Arusha na kwingineko nchini na jinsi ya
kukabiliana nayo.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA3 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment