Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Mfalme Mswati wa (ii) wakati alipowasili kwenye Uwanja wa
Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Mfalme Mswati wa
ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership'
unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Mfalme Mswati, akishuka kwenye ndege yake wakati alipowasili leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Mfalme Mswati ii, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Mfalme Mswati wa
ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership'
unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Wasaidizi
wake wakiimba nyimbo za kikabila kabla ya Mfalme wao kushuka ndegeni,
haikuweza kufahamika kuwa ilikuwa ni mila za kwao wama walikuwa
wakitambika ama nini kilikuwa kikiendelea.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Mfalme Mswati ii, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Mfalme Mswati wa
ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership'
unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati ii, mara baada ya kuwasili
kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo
Juni 28, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 'Smat Patnership',
unaotarajia kuanza Juni 28. Kushoto ni mke wa Mfalme Mswati.
Post a Comment