|
Hii ni hatua nzuri ya
maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa umakini picha hizi kwa ghafla unaweza
usiamini kama ni zanzibar labda baadhi ya muonekano wa juu utagundua ndio
kisiwani zanzibar...Maendeleo yaliyokuwepo kwenye bandari hii ni makubwa
sana ukilinganisha na Bandari ya zamaniilivyokuwa inaonekana lakini kwa sasa
ni kitu kingine,ukifika bandarini hapo unaweza ukasahaukama upo kisiwani
hapo...!Ni maendeleo makubwa kabisa kwa kisiwani
zanzibar na ni mfano wa kuigwa kokote pale kwahatua
waliyopiga....Zifuatazo Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya kisiwani
zanzibar....!! Inasemekana Mmiliki wa Azam Ndugu Bakhresa ndio
aliedhamini mchakato mzima wa kutengenezwa kwa bandari hiyo...!! PONGEZI
KUBWA KWA ZANZIBAR |
|
Sehemu ya ndani kwenye
mapokezi....!! |
on Wednesday, June 26, 2013
Post a Comment