Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere Kigamboni wakisikiliza mada mbalimbali juu ya maambukizi ya virusi vya
Ukimwi wakati wa siku maalum ya mabambano dhidi ya Ukimwi Chuoni hapo
ilifanyika Ijumaa ya
Juni 7,2013. Wanafunzi hao walijitokeza kwa wingi katika upimaji
wa afya zao.

Naibu Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere, Samul Lunyerere akizungumza na wanachuo katika siku hiyo ya maadhimisho
ya Ukimu ambayo ilifanyika Ijumaa ya Juni 7,2013.
Baadhi ya walimu na maofisa wa Chuo hicho nao
wakifuatilia mada.
Katibu wa
Kamati ndogo ya ufundi ya wanafunzi ya UKIMWI, katika Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere Kigamboni,
Simalenga Simon akifuatilia mada.
Ofisa wa Afya
kutoka Chama Cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania
(UMATI), Lydia Ndekeja akimpima afya yake
mwenyekiti wa Kamati ndogo ya ufundi ya wanafunzi wa UKIMWI, katika Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni, Mohamed Ali Abdalah wakati wa siku
maalum ya mabambano dhidi ya Ukimwi Chuoni hapo jana. Kulia ni katibu wake
Simalenga Simon.
Wanafunzi wakichuo vipeperushi mbalimbali vya elimu
juu ya UKIMWI
credits: Father kidevu
Post a Comment