Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WASHINDI REDDS MISS KIGAMBONI WATEMBELEA OFISI ZA JAMBO LEO, STAA SPOTI

 
Warembo wakiangalia jinsi msanifu kurasa anavyoandaa gazeti.
Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakizungumza na Mwandishi wa Habari wa gazeti dada la Staa Spoti, Zahoro Mlanzi walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es Salaam.
Warembo wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es Salaam
Mpigapicha Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Staa Poti, Jambo Brand Tanzania na Dar Metro, Richard Mwaikenda akiwapatia warembo hao elimu ya picha za habari.
Mwandishi wa habari za michezo, Asmah Mokiwa akizungumza na warembo hao
Warembo wakipata maelezo kwa Proof Reader, Joseph Mabula
Mhariri wa gazeti la Jambo Leo Jumapili, Said Mwishehe (kulia), akiwapa somo warembo hao.
 
Credits: Sufiani Mafoto blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top