Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAFLA YA WASTAFU WA TAMISEMI NA KIKAO CHA MUUNGANO- DODOMA


IMG_0281Makatibu Tawala wa Mikoa Wastaafu, Bernard Nzungu (kushoto) na Getrude Chipaka wakisakata Rhumba katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0165
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi runinga ya nchi 32 Katibu Twala wa mkoa wa Pwani Mstaafu, Bernard Nzungu katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0294Makamu wa Rais, Dr Mohamed Ghalib Bilal akizungumza katika kikao cha kujadili masuala ya Muungano kilichofanyika kwenye hoteli yaNew Dodoma mjini Dodoma Juni 23, 2013. Katikati ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Kulia ni Waziri wa Elimu na Amali wa Zanzibar, Ali Juma Shamuhuna.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top