JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA
2013 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KATIKA MAKAMBI YA RUVU PWANI, MGAMBO
TANGA, MSANGE TABORA, BULOMBORA KIGOMA, MARAMBA TANGA, RWAMKOMA MARA, MLALE
RUVUMA NA KANEMBWA KIGOMA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI HAYO TAREHE 24 JUNI 2013
KAMA ILIVYOTANGAZWA AWALI.
VIJANA HAO WARIPOTI KATIKA MAKAMBI
WALIYOPANGIWA KAMA ILIVYOONYESHA KATIKA TOVUTI YA JKT WWW.JKT.GO.TZ.
ATAKAYERIPOTI KAMBI AMBAYO HAKUPANGIWA HATAPOKELEWA. VIJANA HAO WALIPOTI WAKIWA
NA VYETI VYA LEAVING VYA KIDATO CHA NNE AU CHA SITA KWA
UTHIBITISHO
INASISITIZWA KUWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA NI
LAZIMA, ATAKAYESHINDWA KURIPOTI ATAKUWA AMEVUNJA SHERIA NA ATACHUKULIWA HATUA ZA
KISHERIA
VIJANA WATUNZE TIKETI ZAO WALIZOTUMIA KWENDA KATIKA MAKAMBI YA
JKT. NAULI ZAO ZITAREJESHWA NA JKT WATAKAPORIPOTI KAMBINI.
VIJANA
WALIOCHAGULIWA KATIKA AWAMU YA PILI NI WALE WALIOFAURU KWA DIVISIONI,
II NA BAADHI YA DIVISION III MCHEPUO WA SAYANSI.
VIJANA WA
KIDATO CHA SITA 2013 AMBAO MAJINA YAO HAYAKUORODHESHWA KATIKA TOVUTI HIYO,
WATAJIUNGA NA JKT AWAMU YA TATU MWEZI SEPTEMBA 2013.
Loading...
Home » Unlabelled » HII HAPA AWAMU YA PILI YA MAJINA YA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA NA KAMBI ZA JKT WALIZOPANGIWA...TAREHE YA KURIPOTI NI 24 JUNI MWAKA HUU...!!
Post a Comment