Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HATIMAYE MSANII LANGA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI .... JIONEE MATUKIO YOTE KIUKAMILIFU KUANZIA NYUMBANI HADI MAKABURINI

 

Mwili wa marehemu msanii Langa kileo ambaye alifariki wiki iliyopita na anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya kinondoni jijini Dar es salaam






Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar.
Langa enzi za uhai wake.…

Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar.
Langa enzi za uhai wake.

Ndugu wa marehemu wakiaga.

MSANII WA FILAMU NCHINI DK. CHENI AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU....
RIDHIWANI KIKWETE AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO.



Mwili wa marehemu ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni.









Maandalizi ya maz
ishi.
Jeneza lenye mwili wa Langa likiingizwa kaburini.
Mama Mzazi wa marehemu Langa akiweka udongo kwenye kaburi la mwanaye.
Ngugu zake marehemu wakiweka udongo kaburini.
Kaburi likijengwa.
Sehemu ya umati uliohudhuria mazishi hayo.
---
Zoezi la kuaga mwili wa marehemu Langa
Jeneza lenye mwili wa Langa likiwe mbele ya waombolezaji.
Dk. Cheni akiuaga mwili wa Langa.
Ridhiwan Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu..
Prodyuza P Funky akiaga.
Mtangazaji Adam Mchomvu akitoa heshima zake.
Kala Jeremiah akimuaga Mwana Hip Hop mwenzake.
Jokate Mwegelo naye akitoa heshima zake za mwisho.
DJ Choka akiaga.
Miraji Kikwete akiuaga mwili wa Langa.
C Pwaa akitoa heshima za mwisho.
Dada wa marehemu Langa akilia kwa uchungu.
Mwili wa marehemu ukipelekwa kwenye gari tayari kwa safari ya makaburini.
Jeneza la likiwa kwenye gari kuelekea makaburini.HILI NDILO KABURI LA MWANAHIP POP LANGA KILEO.tunaupumzisha mwili wa marehemu Langa sasa . .

MSANII WA FILAMU NCHINI DK. CHENI AKIUAGA MWILI WA MAREHEMU...
RIDHIWANI KIKWETE AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top