JESHI la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limetoa onyo la kutofanyika maandamano ya CUF kwenda Ikulu na endapo watalazimisha kuandamana hatua za kisheria zitachukuliwa.
Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam CP Suleiman Kova amesema Tanzania itakua mwenyeji wa ugeni mkubwa wa kimataifa uliwemo wa ushirikiano kwa manufaa ya wote ambao utauhusisha maraisi 14.
CHANZO ITV.
on Wednesday, June 26, 2013
Post a Comment