Mhe. Mizengo Pinda, akifungua Mafunzo ya
Wakuu wa Mikoa,Maafisa Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya (hawamo
pichani) kuhusu Mfumo Mpya wa Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi ya
Maendeleo ili Kupata Matokeo Makubwa Sasa Mjini Dodoma .Wakuu wa Mikoa
na Wilaya TanzanSSSSia Bara wanahudhuria mafunzo hayo ili wawe na uwezo
wa kufanya tathmini na kufutilia utekelezaji wa Miradi ya maendeleo.
(Caption 393)
Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Wakuu wa Mikoa wanaohudhuria mafunzo ya tahtmini na ufutiliaji
wa Miradi ya maendeleo ili kuleta matokeo ya haraka sasa katika ukumbi
wa Dodoma Hotel jana asubuhi.
Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wakiwa katika mkutano huo
Waziri wa Maji Prof.Jumanne Maghembe akishuhudia kutiliana kwa saini ya
mkataba wa makubaliano ya utendaji kazi kati ya Wakuu wa Mikoa na Mkatibu
Tawala wa Mikoa juu ya usimamizi wa miradi ya maji.Wa kwanza kulia aliyesima ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi. Wakuu wa Mikoa na Makatibu
Tawala wametilianna saini mikataba hiyo ili kuhakikisha kuwa wanafutilia kwa karibu
Maendeleo ya Miradi ya Maji katika Mikoa yao.

Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe na Naibu Waziri wa Maji Dr. Binilith Mahenge
wakiwa na nyuso za furaha baada ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala kutiliana saini
mikataba ya utekelezaji wa miradi ya Maji katika mikoa yao kwa kushirikana na Wakuuwa Wilaya
ili kuleta matokeo ya haraka na makubwa (Big Results Now)
Post a Comment