Huo ndio muenekano wa sehemu ( Dar es Salaam square ) Jijini Hamburg, hapo kuna viunga na kivuli ambapo watu mbali mbali wakati wa tofauti hufika na kupumzika, kusoma vitabu, kukutana na marafiki nk.
|
Viongozi wa Tanzania wakiwa chini ya kivuli wakati wakisubiri ufuguzi hafla ya ufunguzi wa viunga vya sehemu ya Dar es Salaam Platz ( Dar es Salaam Square ) |
Kutoka kulia : Moses Haule, Godwin Msigwa, Ully Mbuluko, Godfrey Matola na Brighton Monyo ( Watanzania waliopelekwa kwa Mafunzo mjini Hamburg ) wakiwa chini ya kibao kinachoonyesha ile sehemu ya Dar es Salaam jijini Hamburg
|
Mh. Dr. Didas Masaburi ( Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam ) akipata maelezo kutoka kwa wenyeji wa Jiji la Hamburg akiwa katika sehemu ya Dar es Salaam. |
|
Kutoka kulia : Brighton Monyo ( Zimamoto DSM ), Bw. Wilson M. Kabwe ( Mkurugenzi wa Jiji DSM ), Mh. Christopher H. Mvula ( Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ), Godwin D. Msigwa, Bw. Ali Siwa, Bw. Philip H. Mwakyusa( picha na Godwin Msigwa aliyeko Hamburg) |
on Wednesday, June 26, 2013
Post a Comment