Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan akiwapanga washiriki wa Joging katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa
Ghasia wa pili kutoka (Kulia), Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo, Amos Makalla wa pili kutoka (kushoto), Mbunge wa Iramba Magharibi,
Mwigulu Nchemba (kulia) na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan (kushoto)
wakiongoza mazoezi ya kukimbia ya
Kilomita kumi yaliyoanzia katika Uwanja wa Jamhuri na kushirikisha baadhi ya wabunge, timu ya
Barafu Joging ya Dar es Salaam na Muungano ya mkoani Dodoma.
Hawa Ghasia na Idd Azan wakishiriki Jogngi mkoani Dodoma leo
washiriki wa Joging timu ya muungano
kutoka mkoani Dodoma na timu ya Barafu Joging Sports Club ya jijini Dar
es Salaam wakiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Ghasia
Hawa Ghasia akiwa na timu ya Joging ya Barafu Sports Club na Muungano
Kulia ni Mbunge wa Nzega Dk. Khamis Kigwangala akishiriki mazoezi ya viungo baada ya kumaliza mbio za kilomita kumi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akishiriki mazoezo ya viungo
Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa akishiriki Jogngi katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
Post a Comment